Msanini wa Filamu nchini Tanzania Elizabeth Michael a.k.a Lulu, amewataja wasanii watatu anaowakubali zaidi kwenye Bongo Flavor.
Muigizaji huyo alikuwa akijibu swali la mmoja wa mashabiki wake kwenye mtandao wa Twitter, lililokuwa linauliza “wasanii gani watatu anaowakubali kwenye Bongo Fleva?”
Lulu alijibu swali hilo kwa kuandika, “Beka, Maua Sama na Alikiba.”
No comments:
Post a Comment