New Video: Tekno – Diana
Wakati bado Pana inafanya vizuri, msanii wa Nigeria, Tekno ameachia mashine nyingine tena iitwayo Diana. Video hii imefanyika kwenye daraja liitwalo Charles la jijini Prague, Czech Republic. Enjoy chupa hiki kikali.
Author: Bin Hussein Photography |
3:04 AM |
No comments |
0 comments:
Post a Comment