Video: Chekedaa Ft Joto Dar es Salaam – Starehe
Wasanii Chekedaa na Joto Dar es Salaam ambao wanaunda kundi la The Family Team. Hii hapa ni video ya ngoma yao mpya ambayo inaitwa “Starehe”. Video imeongozwa na kampuni ya Kwetu Studio
Author: Bin Hussein Photography |
2:57 PM |
No comments |
0 comments:
Post a Comment