Advertise with us here... Contact: 0654 264 472 Email: sabanhussein@yahoo.com sabanhussein@yahoo.com

Monday, October 24, 2016

Video: Sikiliza majibu ya Amber Lulu kwa mtangazaji huyu, watangazaji mjipange kumuhoji.

Kwa mtangazaji hakuna msanii mgumu kumhoji kama yule mwenye majibu ya mkato au ya ndio na hapana
Mtu wa aina hiyo humlazimu mtangazaji awe na maswali mengi na ya papo kwa papo kuifanya interview iendelee. Mrembo wa video za muziki, Amber Lulu ni mmoja wa watu wenye majibu ya mkato.
Msikilize hapa akihojiwa na mtangazaji wa Kings FM, Prince Ramalove ambapo amezungumzia kwa mkato tetesi za kukamatwa na madawa ya kulevya, bifu na Gigy Money, uhusiano wake na Young Dee na fedha anazolipwa kufanya video.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Total Pageviews

273476

Popular Posts

Unordered List

http://michuzijr.blogspot.com/2013/03/party-kubwa-ya-pasaka-kudondoshwa.html

Flickr Images

Follow Us

Bin Hussein65 copyright 2014. Powered by Blogger.

Translate

Followers

Search This Blog