Msanii wa muziki wa Bongo flavor Shilole a.k.a Shishi baby ambaye alikua mpenzi wa mwanamuziki mwenzake Nuhu Mziwanda ambao hawapo katika mahusiano kwa sasa, jana ameandika hivi katika mtandao wa kijamii wa instagram.
Video: Ibrahnation – Nilipize
Msanii Ibrahnation baada ya kufanya na audio ya wimbo “Nilipize”, ameachia video mpya ya wimbo huo angalia hapa, video imeongozwa na Geneouz Jeff.
…Read More
New Video: Tekno – Diana
Wakati bado Pana inafanya vizuri, msanii wa Nigeria, Tekno ameachia mashine nyingine tena iitwayo Diana. Video hii imefanyika kwenye daraja liitwalo…Read More
0 comments:
Post a Comment