Advertise with us here... Contact: 0654 264 472 Email: sabanhussein@yahoo.com sabanhussein@yahoo.com

Tuesday, November 8, 2016

TP Mazembe watwaa ubingwa wa kombe la shirikisho Afrika 2016

Klabu ya Tp Mazembe ya Congo imetwaa ubingwa wa kombe la shirikisho barani Africa, baada ya kuifunga Mo Bejaia ya Algeria kwa 4-1 katika mchezo wa fainali ya pili.

Mabao mawili ya kiungo Rainford Kalaba na mengine ya Merveille Bope na Jonathan Bolingi yametosha kuipa TP Mazembe Ubingwa.
Sofiane Khadir aliifungia timu ya Algeria bao la kufutia machozi na kufanya matokeo ya jumla yawe 5-2 baada ya sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza wiki iliyopita mjini Blida.
Mazembe sasa watamenyana na washindi wa Ligi ya Mabingwa, Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kati ya Februari 17 na 19 mwakani kuwania taji la Super Cup ya CAF.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Total Pageviews

273567

Popular Posts

Unordered List

http://michuzijr.blogspot.com/2013/03/party-kubwa-ya-pasaka-kudondoshwa.html

Flickr Images

Follow Us

Bin Hussein65 copyright 2014. Powered by Blogger.

Translate

Followers

Search This Blog