Wimbo wa Mafikizolo ulioandikwa na Vanessa waingia kwenye Top 150 ya iTunes
Wimbo mpya wa Mafikizolo ‘Kucheza’ umefanikiwa kushika namba 74 kwenye chati za itunes Top 150 ikiwa ni siku tatu tangu ulipoachiwa.
Kupitia mtandao wa Instagram, mmoja ya member wa kundi hilo, Nhlanhla Nciza ameandika, “In only 2 days of its release #kucheza is no 74 on the iTunes top 150 singles charts. Thank you all for your support. Praise be to the most High. Let’s take it all the way up
.”
0 comments:
Post a Comment