Mwanamuziki wa muda mrefu nchini TANZANIA, LADY JAYDEE ametoa angalizo kwa wasanii wenzie wanaofanya muziki kwa sasa ...
Dakika chache zilizopita, Mwanadada huyo ameandika katika moja ya
kurasa zake za mtandao wa kijamii akiuliza mwisho wa wasanii kwa kutoa
mfano wa wanamuziki wakongwe ...
@JideJaydee alitweet, "Bi. Kidude amekufa maskini na
huo ndio muziki wa Tanzania ulivyo, Issa Matona hali kadhalika.
bongoflava je?? Tutakufaje?? "
Lady Jaydee aliandika hayo kwa kuwaangazia wasanii wakongwe yaani, Marehemu Issa Matona na Bi. Kidude [R.I.P] ambao ni marehemu kwa sasa ...
JE?? Wewe unalionaje hili ???


No comments:
Post a Comment