Hizi ndio picha ambazo zinasemekana ndo zilizua utata
Filamu ya foolish age ya msanii mwenye mvuto bongo Elizabeth Michael 'lulu' Imekwenda bodi ya ukaguzi wa filamu na michezo ya kuigiza Bongo, baada ya kukutwa na picha ambazo zipo nje na maadili ya kitanzania. Filamu hiyo ambayo ilipangwa kuzinduliwa katika ukumbi wa mlimani City mwezi hu tarehe 30 Inahitaji marekebisho.
CHANZO http://www.bongoclantz.com/2013/08/NXI.html




No comments:
Post a Comment