Snura 'Majanga', Baada
ya kukaa na maumivu moyoni kwa muda mrefu hatimaye leo hii ameamua
kufunguka na kusema kuwa anaumizwa sana moyo na wale wote wanaomhusisha
ama kumtuhumu kuwa njia yake kubwa ya kujipatia pesa ni kujiuza kwa watu
wenye pesa mjini na pia kuuza wasichana wengine.
Snura amesema kuwa
kutokana na watu kumhusisha na mambo haya, kwa upande wake yeye binafsi
kuna mtu ambaye aliwahi kutumia picha yake kwenda kumnadi kwa wenye pesa
zao, lakini mwisho wa siku alishindwa kukamilisha mpango wa kumuuza
kwasababu hakuweza kumfuata na kumueleza kuwa anahitajika kwaajili ya
mpango huo.
Snura ambaye kwa sasa ni mama wa mtoto mmoja, amesema
kuwa, Pesa alizonazo sasa zinatokana na yeye kuhangaika kwa njia ambazo
ni halali na zinafahamika na watu na anakasirishwa sana na wale woote
ambao wanamhusisha na mambo ya kujiuza.
KUTOKA KWA http://www.sammisago.com/2013/08/snura-majanga-atoa-ya-moyoni-kuhusiana.html?spref=tw

No comments:
Post a Comment