Pages

Friday, April 25, 2014

HALIMA KIMWANA ACHORA TATOO YA DIAMOND MKONONI MWAKE, UNAWEZA KUICHEKI TAT00 HIYO HAPA

Halima kimwana tatoo ya Diamond 

Wakati mwingine mtu akikujali  ili kumkumbuka zaidi unachora tatoo katika mwili wake nadhani sasa hivi hii ndio habari ya town, zamani tulikuwa tunanunua zawadi mfano nguo aivae kila siku awe anakukumbuka ama perfume akijipulizia ajue fulani ndio kaniletea ila kwa sasa mahaba  ya ma BFF kaka na dada bf/gf ni tatoo

haya dada yetu Halima Kimwana aonyesha mahaba ya dhati kwa kaka yake Diamond (Chibu Dangote) kwa kuchora tatoo katika mkono wake ya Diamond

je wewe unaweza ukafanya hili kwa umpendae? sio lazima awe hubby hata kama Halima ama bff  toa yako maoni ili tujuzane haswaaa

No comments:

Post a Comment