Mikakati ya Ulinzi na Usalama wilaya mpya ya Kigamboni
Kamanda wa mkoa wa kipolisi wa Temeke RPC G.B. Muroto amekutana na Madiwani na Wenyeviti wa Kata na mitaa ya wilaya mpya ya Kigamboni Siku ya Jumatatu 19/12/2016. Mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa CCM Kigamboni kuanzia majira ya sa a nne za asubuhi mpaka sa saba za mchana, Mkutano ulikua na lengo la kujadiri na kuimarisha Ulinzo na Usalama wa Wilaya mpya ya Kigamboni na nchi nzima kwa ujumla.
Picha
Mheshimiwa Mstahiki Meya wa wilaya ya Kigamboni Mh. Maabad Suleiman Hoja na Mheshimiwa Dotto Msawa Diwani wa Kata ya Kigamboni wakifuatilia na kufurahia wakati Kamanda Muroto akielezea jambo.
Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Tuamoyo akieleze kero za mta wake
Picha
Kamanda G B. Muroto na Mstahiki Meya wa wilaya ya Kigamboni wakifurahia burudani kutoka kwa vijana wa KCC kabla ya kuanza mkutano
Vijana wa Kigamboni Community Center(KCC) wakitoa burudani na maigizo ya kuelimisha kabla ya mkutano huo kuanza
Mkuu wa kituo cha Polisi Kigamboni
Wenyeviti na Madiwani wa Kigamboni wakifuatilia kikao
Alhadji Scaba Scuba Mujumbe wa baraza la amani mkoa na kiongozi wa waislamu Kigamboni akiomba Dua kabla ya mkutano kuanza
Mheshimiwa Mstahiki Meya wa wilaya ya Kigamboni Mh. Maabad Suleiman Hoja na Mheshimiwa Dotto Msawa Diwani wa Kata ya Kigamboni wakifuatilia na kufurahia wakati Kamanda Muroto akielezea jambo.
Mh Dotto Msawa(Diwani akielezea Changamoto za Ulinzina usalama katika kata yake ya Kigamboni
Kamanda RPC G. B. Muroto akiwatambulisha na kuelezea kuhusu Askari kata wa Kigamboni
Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Tuamoyo akieleze kero za mta wake
Mstahiki Meya wa wilaya ya Kigamboni Mh. Maabad Suleiman Hoja naye alipata nafasi ya kuongea kuhusu mikakati ya Wilaya kwenye Ulinzi na Usalama.
0 comments:
Post a Comment