Pages

Thursday, March 23, 2017

Alichokiandika Nape Nnauye baada ya taarifa ya IKULU asubuhi hii

 Aliyekuwa Waziri wa Habari Nape Nnauye ameandika kupitia account yake ya Twitter ‘Ndugu zangu naomba TUTULIE! LEO mchana nitakutana na Wanahabari na tutalizungumza hili. Nitawaambia saa na mahali, kwasasa naomba TUTULIE!

No comments:

Post a Comment