Author: Bin Hussein Photography | 2:05 AM | No comments | Hii ndo hali halisi iliyopo katika hospitali zetu hapa nchini kwetu Hii ni wodi ya wazazi katika moja ya Hospital hapa nchini Pia wakati wa migomo hawa ndo waathirika wakubwa Pia hakuna vitanda vya kutosha Kwa ujumla wanapata tabu sana Share This: Facebook Twitter Google+ Stumble Digg Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
0 comments:
Post a Comment