Tukiwa mitaani katika interview kuhusu ufahamu wa watu kuhusu mitandao ya kijamii na matumizi yake kwa ujumla. Baada ya kuhoji watu wengi kuhusu wanafahamu nin kuhusu mitandao ya kijamii wengi wao husema "wanasikia tu kuhusiana na mitandao ya kijamii lakini hawafahamu jinsi ya kutumia. Kigamboni Community Center inatoa huduma ya training Bure kuhusu mitandao ya kijamii na jinsi ya kutumia. Hapo ni sokoni kwa urasa katika interview.
Kourtney Kardashian Children's Father
6 years ago
0 comments:
Post a Comment