Pages

Monday, September 8, 2014

AJALI NYINGINE MOROGORO

AJALI NYINGINE MOROGORO
Ajali nyingine ya basi la abiria yatokea hii leo mkoani Morogoro na kuua watu wanne na zaidi ya 19 kujeruhiwa.Basi hilo lilikuwa likitokea Tabora kwenda Dar es Sallam.

Je,Adhabu ya kuwafungia wamiliki wa mabasi kutoendelea na biashara hiyo inatosha?


No comments:

Post a Comment