Pages

Tuesday, September 9, 2014

HUYU NDIYE NYANGUMI ALIYEVULIWA PWANI YA MTWARA

Mzoga wa samaki aina ya nyangumi ukiwa katika pwani ya Bahari ya Hindi mkoani Mtwara baada ya kuvutwa ukielea majini na wavuvi wa Kata ya Msangamkuu. Mzoga huo una urefu wa futi 48 na uzito unaokadiriwa kuwa zaidi ya tani 30.

No comments:

Post a Comment