WASHIRI Resa kutoka Zambia na Mira wa Msumbiji
Mira wa Msumbiji aliyeaga mashindano hayo jana.
ndiyo washiriki wa kwanza kuondolewa katika shindano la Big Brother Hotshots mwaka huu. Washiriki hao wameondolewa Jumapili Oktoba 12, baada ya kukaa mjengoni kwa wiki moja tu.
0 comments:
Post a Comment