PICHA: T.I KUZINDUA MAVAZI YAKE JIJINI DAR CHCK APAAA>>.
Kamati ya Tamasha la Fiesta imetangaza rasmi kuwa mavazi ya T.I ya Hustle Gang, Akoo pamoja na Strivers Row nayo yatazinduliwa rasmi katika duka la Pop Up Shop lililopo katika super market ya Dar Free Market siku ya tarehe 18-October 2014.
0 comments:
Post a Comment