AJALI: Basi na Lori yagongana na kuwaka moto
Ajali mbaya imetoke majira ya jioni leo hii katikati ya Kimara stop over na Suka eneo la Gereji. Ni kutokana na magari mawili basi la abiria lililokuwalinatokea DODOMA na Lori kugongana uso kwa uso na hatimaye kuwaka moto. Taarifa zakuaminika zinasema kuwa Idadi ya watu waliojeruhiwa ni watu kumi na mtu mmoja ameripotiwa kufariki palepale.
0 comments:
Post a Comment