PICHA: Mdaharo wa vijana wa KATIBA
Tarehe 29/10/2016 umefayika mdaharo wa masuala yanayohusu katiba, mdaharo umehusisha vijana kutoka katika taasisi mbalimbali, vyuo na binafsi. Mdaharo ulifanyika katika ukumbi wa FES Hall, Morocco-Dar es salaam.
Mdaharo huo umeandaliwa na FRIENDRICH EBERT STIFTUNG na International Republican Institute. Watoa mada wakiwa ni Bi. Judith Salvio Kapinga- Recearch, Publication and Visibility Officer Tanganyika Law Society na Bw.Deus Kapinga-Executive Dorector of the Tanzania Citizen's Information Bereau (TCIB).
Judith Salvio Kapinga akitoa mada kuhusu haki na wajibu wa vijana katika katika pamoja na mchakato wa katiba mpya
Washiriki wakipatiwa Katiba ya Tanzania
Washiriki wakifuatilia mdaharo kwa umakini
Mapema asubuhi wakati washiriki wakiwa wanawasili
Washiriki wakibadilishana mawazo kabla ya mdaharo kuanza
Watoa mada pamoja na mwakilishi kutoka IRI, kutoka kushoto ni Judith Kapinga, Deus Kibamba na Bi Robina Namusisi
Dickson Kamala -Vice Chairperson Tanzania Youth with Vision
Washiriki wakijisajiri
Bw. Amon akielezea kuhusu FES
Robina Namusisi- Internation Republican Institute (IRI) akielezea kuhusu IRI
Washiriki kutoka katika taasisi ya viyiwi Buguruni na mtu anayewatafsiria kwa lugha ya alama na ishara
0 comments:
Post a Comment