Jokate ataja sababu anayohisi ilifanya wasanii wa Bongo washindwe kupata tuzo za MTV MAMA
Super business woman, Jokate Mwegelo aka Kidoti amefunguka sababu anayodhani ilifanya wasanii wa Tanzania washindwe kushinda tuzo za MTV MAMA zilizofanyika Jumamosi iliyopita nchini Afrika Kusini.
Mwanamitindo huyo alikuwa akijibu swali la mmoja wa mashabiki wake kwenye mtandao wa Twitter, lililokuwa likiuliza “Je ni kweli U-team ulitucost tuzo za MAMA’s mwaka huu?”
Jokate alijibu swali hilo kwa kuandika, “Sio Kweli, hatukuwa na nyimbo kali iliyotamba maeneo mengi ya Afrika.”
0 comments:
Post a Comment