Nyumba ya Diamond yamtoa povu H Baba ‘unapost nyumba kwa kuwa AliKiba kapost yake’
Jumanne hii katika mitandao ya kijamii kulikuwa na majibizano kati ya mashabiki wa Diamond na AliKiba baada ya Diamond Platnumz kupost kipande cha video kikionyesha nyumba yake ya Afrika Kusini huku akizungumza maneno ambayo yameonyesha kuwakasirisha baadhi ya watu.
Mzozo huo katika mitandao ya kijamii ulikuwa zaidi baada ya H Baba ambaye pia aliwahi kutofautiana na Diamond Platinumz siku za nyuma kutoa maoni yake katika video hiyo ya Diamond huku akionyesha kutoridhishwa na kitendo alichofanya Diamond.
0 comments:
Post a Comment