Man Utd yaichapa Man City kombe la EFL
October 26 palikuwa na michezo mbalimbali ya miachuano ya EFL Cup mchezo ambao ulikuwa ukitazamwa na wengi ni kati ya Man United na Man City mchezo ambao ulipigwa katika dimba la Old Trafford, Man United ilifanikiwa kupata ushindi dhidi ya Man City kwa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Juan Mata dakika ya 54 na kuufanya mchezo umalizike kwa Jose Mourinho kulipa kisasi cha September 10 2016.
Baada ya mechi dhidi ya Man City kumalizika, kocha Jose Mourinho amewaomba msamaha mashabiki wa Man United kwa kupigo cha 4-0 dhidi ya Chelsea.
Baada ya mechi dhidi ya Man City kumalizika, kocha Jose Mourinho amewaomba msamaha mashabiki wa Man United kwa kupigo cha 4-0 dhidi ya Chelsea.
Matokeo ya mechi zingine za EFL Cup zilizochezwa usiku wa October 26.
0 comments:
Post a Comment