Author: Bin Hussein Photography |
3:02 AM |
|
Alhamisi hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa Malkia wa filamu nchini, Aunty Ezekiel ambaye anadaiwa kutimiza miaka 30 lakini kwenye sherehe hiyo imeonekana kuwa ya siri huku akisherehekea na watu wachache aliyowaalika
Tazama picha hapa chini
.
0 comments:
Post a Comment