Advertise with us here... Contact: 0654 264 472 Email: sabanhussein@yahoo.com sabanhussein@yahoo.com

Wednesday, October 12, 2016

Rihanna awakejeli wapenzi wake aliowahi kutoka nao

Hitmaker wa wimbo ‘Work’, Rihanna amewakejeli waliokuwa wapenzi wake kupitia ujumbe aliouandioka kwenye mtandao wake wa Instagram
Rihanna ameandika kwenye mtandao huo ujumbe unaodai kuwa hakuna hata ex-wake mmoja ambaye ameoa au kufurahia mahusiano yake.
Ujumbe huo umeonekana kumlenga moja kwa moja Chris Brown ambaye tangu wameachana tayari ameshakuwa kwenye mahusiano na wanawake kadhaa akiwemo Cydney Christine, Ammika Harris, Amy Shehab, Indya Marie, Blair Pena, na wengine

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Total Pageviews

273491

Popular Posts

Unordered List

http://michuzijr.blogspot.com/2013/03/party-kubwa-ya-pasaka-kudondoshwa.html

Flickr Images

Follow Us

Bin Hussein65 copyright 2014. Powered by Blogger.

Translate

Followers

Search This Blog