Advertise with us here... Contact: 0654 264 472 Email: sabanhussein@yahoo.com sabanhussein@yahoo.com

Monday, February 20, 2017

Idris Sultan asimulia nafasi aliyocheza kwenye filamu ya Kiumeni

Idris Sultan amefunguka kwa kuwaonjesha mashabiki wake uhusika aliouvaa kwenye filamu ya ‘Kiumeni’.
Kupitia mtandao wa Instagram, Idris amesimulia kwa kuandika, “Humu ndani nauza madawa kwahiyo nina mpunga wa kumwaga halafu nipo kitaa, demu wangu wa zamani anakuja na mwanaume kumtambulisha kwao na kwa hapa na pale mshkaji anakuja kwangu kapotea, anamlaaaa hamliiiii ??? 😅.”
Filamu hiyo imeongozwa na Ernest Napoleon ambaye ni Rais wa D Street Media Group na itaanza kuoneshwa March 17 kwenye majumba ya sinema jijini Dar es Salaam.
Mbali na Idris Sultan filamu hiyo pia imewakutanisha mastaa wa bongo kama Irene Paul, Muhogo Mchungu, Antu Mandoza, Rashid Matumla na wengine.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Total Pageviews

273493

Popular Posts

Unordered List

http://michuzijr.blogspot.com/2013/03/party-kubwa-ya-pasaka-kudondoshwa.html

Flickr Images

Follow Us

Bin Hussein65 copyright 2014. Powered by Blogger.

Translate

Followers

Search This Blog