MIX AUDIO: Jokate aeleza alivyowasogelea Beyonce na Jay Z, jibu alipoomba picha je?
![]() |
Download now!! |
Baada ya picha ya mrembo Jokate Mwegelo kuonekana pembeni ya mastaa wa dunia Beyonce na Jay Z huko Marekani pamoja na mtoto wao Blue Ivy, Jokate ameongea na millardayo.com na AyoTV kueleza imekuaje akapata nafasi ya kuwasogelea… alipoomba picha wakamjibu vipi? BONYEZA PLAY HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment