Wanawake kushusha suruali zao(kata k) na kuvaa nguo fupi zinazoacha mapaja nje ni fasheni au ndo biashara matangazo?????
Hii ndo hali halisi ya madada zetu wanavyovaa na kujisahau mitaani kama ni kwenye sherehe, wakienda sokoni, wakiwa mitaani tu, wakiwa clubs na sehemu mbalimbali. Mmmmmmmmmmhhuu..... hali hiii inatisha kwasababu zamani tulizoe kuona mambo haya kwa baadhi tu ya wanawake tena wakiwa labda kwenye kumbi za starehe(Clubs) au wakiwa kwenye fukwe za bahari (Beach) lakini siku hizi ni tofauti unaweza ukakutana na mdada yupo katika mavazi hayo hata hospitalini.
Ukiuliza utaambiwa ni utandawazi... lakini swali ni je kwanini kila siku tunaiga mambo yanayohusiana na starehe tu na si ya maendeleo..????
Tuigeni basi ya maendeleo na sisi tuitwe 'Developed country' tumechoka kuwa Developing country had lini??????????????????shabanhussein2

0 comments:
Post a Comment