Author: Bin Hussein Photography |
3:17 AM |
|
"Amin ktk Mungu nio mwisho wa matatizo yote yaliyotuzunguka. Hakuna mganga wala mchawi pasipo Mungu. Asante Munggu wangu kwa kunnikabidhi zawadi yangu Asubuhi jana tar 21-05-2015 Muache yy atende kwani ndio nguzo yetu sote Nasema ahsane tena Ahsante kwa zawadi hii ktk Maisha kwani ilikua nikipindi kigumu chenye majaribu ya kila aina kupitia binadamu wajizaniao wao ni Miungu watu. Bac enelea kunyooosha mkono wako katika paji la kiumbe wako ukiwa kama kinga nami niwe kivuli tuu juu yake Ameni. When Jesus says yes No body can say what..!!??? W'come baby Cookie w'come 2 da world KIBOKO YANGU.."
0 comments:
Post a Comment