Video: Alikiba alivyovutia mashabiki kwenye uzinduzi wa filamu ya Marekani, SA
Alhamis hii, Alikiba alialikwa na ubalozi wa Marekani nchini Afrika Kusini pamoja na IBM kwenda kuhudhuria uzinduzi wa filamu iitwayo, Hidden Figures.
Kwenye uzinduzi huo, Kiba alikuwa kivutio kikubwa cha mashabiki waliohudhuria.
“It was a heartfelt experience spending the evening with girls who were recently rescued from child trafficking. I pray for your peace and love,” ameandika kwenye Instagram.
0 comments:
Post a Comment