Kampuni ya Saruji ya Lake imekabidhi bweni la wanawake katika shule ya Sekondari Kimbiji.
Bweni hilo lililojengwa kwa ufadhili wa kampuni ya Saruji ya Lake Cement iliyopo Kimbiji, Kigamboni leo tarehe 24/02/2017.
Mgeni rasmi katika uzinduzi huo alikua ni Mh. Faustine Ndugulile(mb) Kigamboni.
Aidha Mh. Ndugulile aliwahimiza wanafunzi wa shule hiyo kujitahidi kusoma kwa bidii ili kuepukana na changamoto ya kushuka kwa kiwango cha kufauru katika matokeo ya kidato cha nne, hasa katika wilaya ya Kigamboni.

Mh. Faustine Ndugulile (mb) akiwasili katika viwanja vya shule hiyo
Mwanafunzi akiimba wimbo wa shule
Mgeni rasmi akielekea katika eneo la ufunguzi
Mgeni rasmi akikagua bweni hilo
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Lake Cement, na wenyeviti wa mitaa ya Kimbiji
0 comments:
Post a Comment